News
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara wa magari na vifaa chakavu tarehe 06-05-2023 kuanzi

Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara wa magari na vifaa chakavu tarehe 06-05-2023 kuanzia saa 4.00 asubuhi katika Ofisi za CAMARTEC Makao makuu zilizoko Mkoa wa Arusha Njiro inatazamana na Kiwanda cha General Tyre Arusha.